welcome to Ardhi University Muslim Students Association!

arumsa programes

Programu
DFP
PROGRAMU
WAHUSIKA
1.      Kubuni mradi ambao utaongeza kipato cha Jumuiya.
2.      Kuandaa semina ya kidaawah kwa wanajumuiya na Juamuiya jirani
3.      Kuongeza kipato cha ndani cha Jumuiya.
4.      Kutafuta wazamini wan je ambao wanaweza kusaidia katika kuendeshe shughuli za Jumuiya.
5.      Kuangalia upya mali za Jumuiya na kuziorodhesha ili kuweka udhibiti mzuri wa mali hizo.
DFP & ACC
DFP, DDIR, DES & ACC

DFP
DFP & ACC

DFP

DDIR
PROGRAMU
WAHUSIKA
1.      Kubainisha nyanja mbali za ushirikiano na Jumuiya nyengine.
2.      Kutafuta walimu watakao fundisha Qur-an, Fiqhi na Tawhiid.
3.      Kupanga ratiba maalumu ya vipindi vya darsa.
4.      Kuboresha mahusiano baina ya waislamu  (ARUMSA).
5.      Kuandaa semina ya kidaawah na Jumuiya nyengine pamoja na waislamu wa jirani.
6.      Kuandaa muongozo sahihi katika utoaji wa Daawah

7.      Kuandaa kundi la vijana ambao wataenda kukaa kambi (Camp) kwa ajili ya kusoma DINI.


8.      Kupanga mpango wa kufundisha maarifa ya kiislamu shule za Primary.
DDIR, DISR & DES

DDIR & ACC

DDIR
DDIR
DDIR, WW,DES & DFP

DDIR & DES

DDIR, ACC & DES



DDIR & DES

DES
PROGRAMU
WAHUSIKA
1.      Kukamilisha usajili wa under graduate pamoja na kuanza kufanya usajili wa postgraduate.

2.      Kukusanya taarifa maalumu za wafanya kazi waislamu na Alumni ili kuimarisha network.

3.      Kutembelea vituo vya tuition

4.      Kukamilisha pendekezo la kufungua kituo cha tution.

5.      Kuwasilisha pendekezo la tution center.

6.      Kufuatilia vituo vya elimu (schools) kwa ajili ya visitations.
7.      Kuboresha Data base ya Jumuiya.

8.      Kufanya uchunguzi wanajumuiya juu ya utayari kufundisha.
DES


DES, ACC,& DISR


DES

DES & ACC

DES & ACC

DES & WW

DES & DISR


DES & ACC

DISR
PROGRAMU
WAHUSIKA
1.      Kuendeleza na kuboresha Blog, Database pamoja na kuandaa Website.

2.      Kukamilisha muongozo wa jarida la Jumuiya.

3.      Kukusanya taarifa maalumu za wafanya kazi waisilamu pamoja na Alumni.

4.      Kubainisha Nyanja mbali mbali za ushirikiano na Jumuiya nyengine za kiisilamu.

5.      Kuangalia Jumuiya ambazo tutaweza kushirikiana nazo katika Nyanja ambazo zitabainaishwa.

6.      Kuandaa na kuwasilisha (proposal) kwa ajili ya ushirikiano.

7.      Kuandaa gazeti au jarida la Jumuiya.
DISR, DES & ACC


DISR & (ANEBO)

DISR & DES


DISR, DES & DDIR


IDARA ZOTE


DISR & ACC


DISR

WW
PROGRAMU
WAHUSIKA
1.      Kuandaa semina ya kidaawah kwa wanajumuiya wote (kongamano).

2.      Kushiriki katika Carrier Councelling.

3.      Kuhamasisha tabia njema pamoja kujisome vitabu, kuhudhuria Darsa n.k  kwa wanajumuiya.

4.      Kuandaa muongozo wa utoaji Daawah kwa wanajumuiya.

5.      Kufanya utafiti wa kituo cha mayatima cha kukitembelea.

6.      Kuboresha utoaji wa Daawah na utaratibu wa kutembeleana baina ya wanajumuiya (ARUMSA).
WW, DDIR, DES, DFP & ACC

WW & DES

WW & DES


WW & DDIR

WW & CoSU

WW & DDIR